Safi sana mdj komaeni na sie Tanzania tuwe na bits zetu nchi nyingine wazicopy pia sio kila mtu Amapiano au bits za kinigeria yaani mm ni mshabiki mkubwa sana wa singeli siku mkija UK nitawafuata kila kona
Oyaaaa ww ndio muuaje wake maana umetamkaa kauli Kali alafu hatujaipendaaaaa achaa tumuelewee oya weee mshamba haelewi mom lao 7 bonde la mchicha au Kwa bibi kiwembe
Sijaon kama ww DJ nakukubali chukua 100%% zang mwaaaaa mushizo
Safi sana mdj komaeni na sie Tanzania tuwe na bits zetu nchi nyingine wazicopy pia sio kila mtu Amapiano au bits za kinigeria yaani mm ni mshabiki mkubwa sana wa singeli siku mkija UK nitawafuata kila kona
Ovyo
Mushizoooooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌 a weweeeeee skuweziiiiii unafanyaa nisipikee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mwanagu dah wee mkali sana mzee beat zimetulia sana
Mshizoooo nakubali naomba sikumoja uje longon 🏖️⛱️🏖️
Mushizo tunamtaka aje chuga mn
From Kenya, mziki wenu hatari
Mushizo anajua oya nishida❤❤🎉🎉🎉❤
Mushizo nakuita mar 3 unaniua jamn weweeeeeeeeeee
oya katisha
Mpeni mauwa yake jamani.
Moto beats kaliii sanaaa...Mwamba anajua
Oya we bado nipo Kwa ko
❤❤❤❤kukupenda tuu ndo kitu najua dj mushizo❤❤
Jina ni kubwa sana huku mtaani bado ujalitendea haki Unakitu Kikubwa sana seme nikama ujiamini
Oya weee mushizo acha sifa mwanangu watakuroga ujue😂😂😂
😂😂😂
Kabs 😄😄😄
Nakubali
Oyaaaa ww ndio muuaje wake maana umetamkaa kauli Kali alafu hatujaipendaaaaa achaa tumuelewee oya weee mshamba haelewi mom lao 7 bonde la mchicha au Kwa bibi kiwembe
Mi
Oya wee iyapa naiskilizia nairobee sio poa wanangu wa buza 🙌🔥💥☄️
Umetisha mushizo. Ronaldo Jr apa flom Bagamoyo Sikupingi mwamba
Nakubali kizaz mwamba umetisha Saba🎤🎤🎤
Dj mushizo uko vizuri big up🤙🤙
Namkubal bodyguard 😂 anyway mmetisha wote na mushizo 😂😂
Weeeeee mushizooooo utawauaaa❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
🔥🔥🔥🔥
Naomba namba yako dj0mushizo
Mimi nipo songea
Duuh hilid singel noma 🔥🔥🔥🔥
Duuuuh umetixha zana mwanangu
Nampenda djmushizoo utatuuwaa
Niko apa Tena na Tena🤸🤸🤸🔥🔥
♤♡◇
Dogo yupo vizuri 🎉
Oyaaa mwanangu unauwa sana be bleessed dam yangu
Nakubal san dj mushizoo utawauaaaa
Oyaaa weee wauwe midundo asili mapiano kwao
humohumo
Weee mushizo dj utawauwaaa umetxha sanaaa
Utaniuwa babaaaaa unaatari sio poaaaa
Unajua mpka Unakeraa❤💥
9😢 😊🎉 9😂
Oya mixsng zako ntazipateje babuuu
Qmmq dj una sifa ww😃😃😃😃 sasa wenzio wafanye nn sasa
we mthenge utawauwa
Nani kaja baada ya miso misondo gonga like kama unamkubali mushizo mtu mbadiiii
Mukubwa mkubwa2
Msondo
Pamoja sana❤
From India this musian is very talented boy
😂😂
Namkubali huyu jamaa kinoma
Bodyguard nyuma namkubali 😂😂 mushizo umewamaliza 🔥
Awena❤
Nalipataje ilo dude mkaliii
Dah we mwana hatar sana
Mpeni mauwayake jamani msionee wiv hingoma karii
Weeeee fire 🔥respect sana blood
Bwana uyu Dj apewe tuzo
Kweli kichaa. Wangu
unabalaa sana
unyama mwingi mwanangu mushizo
Hivi Dj lazima ucheze kwani
We ilo vibe unalisikiaje msikilizaji tu unatingisha kichwa 😅😅😅
Singeli is real definition of bongo flavor.
More than all deejays
Cha acha afaye kazi
Aloo kwanza
We mbwa kuma umeshindikan shikamoooooooooooo
Watakuloga mwanangu acha sifa ujue
Utakuja upate kesi kijana punguza sifa utawauwa Mzee baba 😂😂😂😂😂
we acha 2
😊
This should go viral lets take to 1million views
Moshizo unatisha sana kama mnjaa
uko juu mushizoooo❤️❤️❣️
Umetixha kija
yeh noma san
Msenge ww mtoto fala sana umeua Ile kinyama
🤣😁😁😁 Huyu Msenge Hatari Sana
Mushizo,dj titto,dj autorun kings of singeli
atali
@@allyzubery1768 autorun ni namba nyingine asee
26kipaji ,we mushizooo
Nakubari unakitu utafika mbari
Utawauwa 🔥🔥🔥
Umeua🎉
Naitaka hii🤸🏼♀️🤸🏼♀️🤸🏼♀️
We mushizo utawaua
Good 👍👍. Thank you DJ 💝🔥🔥🔥🔥🔥
The best house music invented in Tz😊😊
Kakaa umetisha ila Acha sifa watakuroga kiruuuu😂😂😂😂
Kweli utatuua Mahana nilisahau kama Niko mwenyewe
Nakubalii sanaa dj mushizooo utawauwaah😂
Nimeipenda San miondoko hiyo
Oyaaa weee wauwe wao na na mapiano si
Hakuna Kama mushizo
we acha 2
N fireeeeee🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Oy unajua ww
Ahaahha eti Yupo kwenye ulinzi mkali🤣🤣🤣🤣
Nkubli muxhizo wnja wako bloody
Diamond mpya
Unaweza kaka
Kali sana hiii
hio ngoma ya ..kushoto kuna kulia kuna paja msanii gani?
hyo mtafute DJ HAJIZ- INAITWA PALE KATI PANAUTAM
We ni kamanda🔥🔥🔥
Umetixha kaka 🥰
Umetisha mushizo😂
🎉❤❤❤❤Wana danlodiy wap
Kijan utaua wew😂
Mushizo mtu mbadi
Unajuaaas
Mushizo una hatari ntakupa mwanangu😅😅😅
so pour umetixha
We mtu baruti👊
Kwan mpaka ucheze
Weeeeeeemushizoooooooo utawauwaaaaaa
Unyama sana mushizooo balaa
una content kali sana
Baba umeua
Nkubali mwamb
🥳🥳🥳🥳🥳
Nakubali mushizo atary sana💀
nitakwalika mbeya chimala pub yangu ujee